Nimetoka Ubungo saa tano hadi sasa sijafika hata Buguruni.
Sijui nafika sangapi?
Sasa ni saa saba na nusu.
Sasa unataka tufanyaje?
Pumbavu kabisa
pole sana mkuu
Vipi ujenzi wa SGR…
Teh Teh Teh Teh…
Mita ngapi zimeshajengwa??
Pole nyingi Mkuu
Kwa miguu?
heading na maelezo tofauti, kama ni folen magufuli nae kaikuta , unaumwa tumbo
Jaribu angalau kuushughulisha ubongo Mkimbizi mwenzetu!!
tupo pamoja hemani ,
Lakini mwenzetu una kiberiti mkononi!
Huko ni mkoa gani?
pole sana mkuu bado kidogo tu folen ya tazara (mandela road) itaisha,kimbembe kitahamia pugu road makutano ya chang’ombe
Duh inabidi uchukue lunch box
Na bado sanaaaaa kumaninaaa
Hahahahhaa
Hilo ndo linanifanya nipachukie dar anyway karibu mbekenyera tupige chaki
Kuna ulazima wakua na air bajaj
Mita 7.34