Tupeeni Siri

Yaani kijana tulikua tunalamba glucose naye time ya covid tupate nguvu ya kupumua juu ya shida saa hii akona Audi A4 KDP? Mimi nimekwama Kwa some stressful corporate job earning 100k msee anamake that amount in days. Halafu sio mlevi kama Mimi ni wa kanisa but kudinyana anadinyana proper. Ukimuuliza anakuambia story zingine za dark web hata huelewi. Ni biz legit niresign Monday?

Ni legit, resign

7 Likes

:green_emoji: :green_emoji:

1 Like

Details ya dark web

Never admire someone else’s hustle. Pengine anachunishwa sukuma ndio amake that amount na wewe unadhani kuna mahali anatumia akili.

Pengine anaiba ama amekuwa tenderpreneur pale UDA na unadhani mnaeza kimbizana kimfuko.

Kula hio yako kidogo utosheke nayo boss.

10 Likes

There’s a vehicle sale’s man I know, pale ngong Rd,the young guy walks with bundles of cash tied together in rubber band, my theory is simple, this wanabee high class corporate ladies, he inflates the price of vehicles, then sells it to them.

And surprising thing is that, it seems he always has a ready market, nobody hapa Kenya can tell you how they make money, they will mislead you intentionally

6 Likes

Think about it. Unadiscover loophole but unajua Kenyans ni copycats so unakanyagia unakula peke yako. When that loophole is sealed unaambia “mabeshte” kwenye ulitoa pesa. But hutawaambia hiyo form haiwork sasa. Watajaribu washindwe but blame themselves for failing. Halafu next time wakipata form watakwambia thinking you are their friend kumbe uliwacheza. Ukiskia mtu ni wa dark web jua tuu hawezi kupea actionable intelligence. Atakupea intelligence ikishachapa when his income is not threatened.

1 Like

WHAT HAPPENED

kijana alikua ananichunisha sukuma time ya covid tupate nguvu ya kupumua juu ya shida

Aliuza mkia Kwa birrionaires, saa hii akona Audi A4 KDP.

Saa hii mkia yangu loose imefanya ni nimekwame Kwa some stressful corporate job earning 100k

Shot moja anamake that amount in days. Halafu sio mlevi kama Mimi ni wa kanisa but kudinyana anadinyana proper.

Ukimuuliza anakuambia story zingine za dark web hata huelewi. Ni biz legit niresign Monday?

1 Like

Expound uchanuliwe fastest

Bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi…Develop clear goals for your life and stick to them. Find out your gift or calling if you can…your break will come. Remember your career is what you are paid for but your calling is what you are made for. If you find your calling, your break might come even sooner.

2 Likes

Kuna boys alikua kwa doc fulani wa Ghana akishow vile huingia darkweb anabuy credit card anarushia crew Yues, crew ina rent ndai ya nguvu , vin inabilidishwa
ndai inawekwa kwa ship hadi west Africa.

3 Likes

He should revisit the famous kiza Monaco twasija thread by the one @Mimi_Huwa_Namwaga_Nd . The thread went south fast after a certain ‘classmate’ revealed sonko @Mimi_Huwa_Namwaga_Nd huwa anamwangiwa ndani. @Motokubwa was even willing to follow mwangandani as his masterand learn were he hawk hio Mcea. Seems @Motokubwa learnt the trick akawacha kuuza moturwa na akavanish ktalk

2 Likes

Nimechoka Kula kidogo

Mimi hii life ni fupi kuishi ukiteseka

Sasa nikilipia premium VPN na niweke Kali Linux kwa lapi iko idle mahali naanzia wapi?

Hao ndo wanaume sasa I aspire to be like them

Wapi hiyo thread

All fun and games until you find yourself on the Interpol wanted list kimchezo.

3 Likes

People are also inheriting and deciding not to reveal to their friends.

1 Like