Tunaelekea Hapa Wadau. BRACE Yourselves & Apply Some LUBE!

[ATTACH=full]447189[/ATTACH]

Hiyo pesa ameshika ndio ya kununua mkate :D? Nikubaya wadau

No way that can happen in Kenya. In kenya the rate has been 7% for last 9 yrs, and was raised by 0.5% juzi. Uhuru amefanya kasi.

During Moi’s time ndio ilikuwa 84% and that is why “those people” should NOT be allowed anywhere near statehouse.

https://img.take-profit.org/graphs/indicators/interest-rate/interest-rate-kenya.png

:D:D
[ATTACH=full]447207[/ATTACH]

hiy

Hiyo 84% ilikuwa juu ya goldenberg ama nini ilifanyika?

Chei :D:D:D. Huwa nanunua mkate kubwa at $0.54 buana. Hiyo yao, it’s extreme. With their prices, I can buy 174 loaves of bread :smiley:

Unafungua a small bakery ata:D

Chekeni tu.
40 something days remaining.

[ATTACH=full]447228[/ATTACH]

I don’t think so.

Kenyans will pretend they are suffering with you lakini hata fuel ikifika 250/= per litre bado utaona traffic jam.

But majority are living beyond their means.

Kwanza kuna loan app tatu fulani nilioneshwa jana na ka villager jana…nimesahau jina…moja ina logo ya orange red white na ingine green white ingine ni red writings in white…bana jamaa hajawahi tumia hio app but loan limit yake ni 53,000 ndio kuhoji guy kumbe sijui aliregister na id sijui aliokota wapi…jama alichota hio 53 akaenda hepi zake…kesi baadae.

RaoMartha will change the economy