Tunadanganyana

East Africa Spectre ltd haikuwa imefungwa jana, yet baba alikuwa ameambia wafuasi wake kuna holiday eti wasiende kazi.

Workers wa E.A Spectre ltd walikuwa job kama kawaida.

Ok

ng’ombe za ojinga lazima zingetembezwa

walikuwa wanalipwa overtime

@hakimoto is @Gay

If Baba is genuine, let him tell us why is operating while his goons have made other buissnes close ? I wonder !!

Upus

ata public holidays si workers wote huenda holiday.

Huyo baba alienda kwa gate ya matiang’i akadanganya wakenya kuna uvamizi, matiang’i mwenyewe hakuonekana, na hajawahi confirm izo story za baba.

He forced us to close out businesses

Yaani hata huko mau forest ulifunga posho mill juu baba alisema?

Threats kutoka kwa goons wake, hatukufunga willingly

Huyu ni Ruto ama ni sani :smiley:
20230320_223744.jpg

Supporters wake wako mpaka olposimoru forest?

kila soko huwa na idlers wako ready kutumiwa na politicians

Kumbe hata huko wananchi wamechoka na bei ya juu ya fuer, stima, skul fees ya zakayo mtoza ushuru.

:D:D:D huyo ni jsks

The Mount Kenya Kingpin reported to work at 5.am on that day, so it was nothing strange.