Tumia KenyaTalk kwenye mfumo wa app

Wadau wengi wamekuwa wakilalamikia ugumu wa kuingia Kenyatalk kwa browser…Mimi leo nimepata japo suluisho kidogo la hili tatizo.

Cha kufanya pakua/download application ya tapatalk na uinstall kwenye simu yako…Baada ya hapo tafuta Kenyatalk kwenye search bar…fungua kenyatalk,utaipata kwenye mfumo unaofanana na app ya JF ya saivi ambayo bado inasuasua kurudi hewani.[ATTACH=full]180842[/ATTACH]

Poa mkuu ngoja nami niijaribu.

Imekubali, Shukrani mkuu.

Pamoja mkuu

Ahsante saaana mkuu. Laiti tungelijua mapema tusingelipata taabu hivi. Barikiwa saaana.

Asante mkuu

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/ktalk-app.81801/#post-1721082

Shukrani mkuu