Tukutane Kwa debe

[MEDIA=twitter]1544962833762455553[/MEDIA]

Kenyans are preparing to elect governors, senators, women rep, MCAs, and MPs. President tunajua ni nani. Baba the fifth. Ruto aendelee kungoja. He should emulate the fifth and learn how patience pays. Ni hayo tu Kwa sasa.

Which baba? The one complaining about his votes getting stolen? Kijana ya Sugoi atawaonyesha vumbi. Game bado changa

Hio ni walkover kwa baba.

Lakini be careful na JSKS that guy is one chicky fellow but baba ataingia but hio siku ya election na before official announcement kutakuwa na vituko sana