Tuko Pamoja Wabongo

Ningependa Kuchukua fursa hii kuwaeleza wabongo tuko pamoja. Hizi nchi zetu ni shit-holes tu. Serikali zetu hazina shughli na wananchi. Our governments don’t have the interests of the citizens as a priority. The most important thing for our governments is self-preservation. Yaani bora waingie mamlakani, basi. Wakiwa mamlakani, kazi yao ni kupunguza upinzani kabisa hadi kile kiwango wanaeza fanya lolote watakalo…wizi wa mali ya umma sana sana.

Sisi hapa Kenya twaumia pia. Ufisadi kushoto kulia. Yaani twaibiwa kweupe kweupe. Na tunaelewa Serikali huwa marafiki na serikali zingine. Pale uganda wananchi washaanza kutozwa ushuru ili kutumia huduma ya Whatsapp. Museveni hana tofauti kubwa na hilo Jiwe lenu. Pia hilo Jiwe lina marafiki wenye vyeo na hadhi huku 254. Haiezi shangaza wakipatana wakaamua kuleta hizo sheria zao huku pia, tukabaki hatuna forum yoyote.

One thing for sure is, Magufuli can’t control the internet. I actually thought he is an intelligent man with his Chemistry PHDs and all, Kumbe ni kichwa maji tu. Otherwise, besides ule utani baina yetu, eleweni wananchi wakenya na uganda na tanzania hakuna tofauti. cultural differences tu kidogo but sisi mandugu.

*Na tunaelewa, si wananchi watanzania waliochoma vifaranga vya mfanya biashara mkenya. Ni serikali ya hilo jiwe lenu
*Pia ninyi eleweni mkipata tapeli mkenya, haimaanishi Wakenya ni watapeli .

Kuna uwezekano pia kutaja siku wakenya, waganda, warundi au warwanda watahitaji usaidizi kutoka kwenu, kumbukeni sisi mandugu kwenye shitholes. Just struggling to get by

*Mwambieni Geza Ulole pia asiogope kuja. Tunamjua kwa saaaana.

thank u

Sawa

Tunapambana kuondoa uhalifu wa mitandaoni.

Ninaimani tutaishinda hii vita.

Washenzi tuu.

Kuna njia mingi za kupambana na uhalifu mitandaoni, na kuifunga mitandao sio moja yazo.

Wafuate sheria wafunguliwe.

Kwa jinsi hawa viongozi wanavyopambana na mitandao ya kijamii kwa nguvu nyingi, inaonyesha ni jinsi gani ilivyo na nguvu na ni jinsi gani inaharibu mipango yao ya kuibia nchi na ujinga mwingine. Hii ni ishara kuwa mitandao ina nguvu na si wakati wa kurudi nyuma. Pia ni kweli East africans tunatakiwa kusimama pamoja dhidi ya hawa ma T.Rex, fates zetu ziko intertwined

Yanasikitisha sana…

Cc: @Mahondaw

Mkuu una uhusiano wowote na Lumumba.?? nataka nikuagize something

Serikali za ki-africa zinapenda kufanya mambo yao gizani, huko hakuna wa kuwahoji au kuwawajibisha wanapo vurunda na kuiba mali za umma, ndio maana social media zimegeuka maadui kwao

this time maandamano tutafanya kweli

Shit holes kweli kweli