Tukiachana na story ya bahati na boyfriend Yake, how many times should one go for a medical checkup


Ukimaliza checkup mkono unanuka samaki mbaya

2 Likes

Kuenda for checkup nikutafuta ugonjwa haiko.

1 Like

Nani huenda check up except corporates

Shida is that these medicals compare your medical parameters to an 18yr old’s body function. Saa hio umekunywa konyagi na kukula lanyes and cholesterol ladden mbuzi choma for ages.

2 Likes

Labda the clinical afisa ni dem wa huyo nyang’ao, or it’s scripted chieth