Tuk imefika bei ya gari

Peasants wenye wanachukua za loans wanalipa almost 800k after 2 years.

That’s no good business. Hata kuna kalorry niliona kananunuliwa 700k kanabeba mzigo kama ya tuktuk

Ni ujinga huo

Hapana kopa, hapana kopesha. Kula sumni, weka sumni.

Nduthi siku hizi ni bei ya Toyota 110 second hand. Tuk Tuk ni demand mingi, kama Ile suzuki alto ya taxi.