Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo kibaruani.
Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa;
utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company
sijamtaja mtu.
Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo kibaruani.
Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa;
utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company
sijamtaja mtu.
Wazima wote huku ndani? Jamani natafuta dawa yakuwapiga upofu traffics. Mwenye kuijua njoo inbox pliz
[ATTACH=full]176188[/ATTACH]
:rolleyes:
Mbavu zikivunjika nani atanichapa plaster.
Una “VITS” unapeleka Car Wash ya nini?
Si bora uchanganye na vyombo uoshee nyumbani tu
[ATTACH=full]176427[/ATTACH]
MTANZANIA KUISHANGILIA URUSI KOMBE LA DUNIA NI KUKOSA UZALENDO,KWANI MMESAHAU KUA HAWA NDIO WALIOMTESA NA KUZUIA MAMILIONI YA DR. SHIKA?
hahahaa matawi ya kazi gani tena
Hahaaa Acha tuu aisee
Utashona hospitali
Mlevi kakutwa akikojoa eneo la shule, Mwalimu mkuu akamuuliza, hilo bango hapo limeandikwaje?
Mlevi: ‘USIKOJOE HAPA’.
Mwl: Kwahiyo unafanya nini hapo?
Mlevi kwa makini na upole akajibu: HAKI YA MUNGU NILIJUA NDIO JINA LA SHULE
[ATTACH=full]176441[/ATTACH]
Atakuelewa tu,ila cha kushangaza lazima atakwambia mkapime Ukimwi,sasa sijui hapo vina uhusiano gani na kupotea kwako wakati ulishamwambia ulimezwa na chatu…
Nitashonwa sio nitashona hospitali
Hahaa si unajua tena nimehamia kaunti ya Klifu
Kiswahili sana sana sanifu ni lugha ngumu kwetu
hahahaha hapo kwenye monocotyledon dah
Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote
Mwalimu kaniulizaa kama mtoto mdogo anaitwa mchanga… Je mtu mkubwa anaitwaje? … Nikamjibu anaitwa kokoto… Ameniitaa staff room labda atakuwa ameniitia chai
Huyu mwalimu ana roho nzuri sio kama mwl Msigwa.