Truth watchdog on how girls can easily be murdered through dating apps

Napenda hii chimpanzee sana. I just love him, his personality and ni mpoa sana when it comes to investigating stuff.

7 Likes

Amepigia Makena there at the beginning of the video.

Na hio site ni nairobihot na huyo makena ako na kadudu

Huyu jamaa huwa na content msuri sana, kuna upuzi huwa youtube, inajiita loyalty tests. Ameanika kamujamaa fulani kalikuwa kanaibia wamama na amdem wa gulf na elsewhere hela zao. Kamujamaa kana act, alafu kana changisha pesa. Video za hako kajamaa zilikuwa na kidnapping na “actor” kulazwa hosi.

this guy is too real.

aliwai expose loyalty tests nikakuja kuona kumbe ni vitu ziko scripted. akina thee pluto na comrades flavour are very notorious for scripting their loyalty tests. hadi kuna msee aliwai onekana kwa comrades flavour na bado akaonekana kwa loyalty test ingine nikajua kumbe hizi vitu huwa scripting tu.

1 Like

Niliboeka sana na hizo loyalty tests. Sahi I’ve subscribed documentary channels and old school comedies.

1 Like

Mwanaume hafai kutazama hizo ummeffi za akina Thee Pluto

4 Likes

Uli erevuka?Sasa hao watapata unga wapi,wajinga wakiisha? :grin:

1 Like

Wewe shifo Wacha watu watazame upuss, used to think wrestling is real…

Movies are scripted too. But hio upuss ya loyalty tests iliniudhi saidi. Thought hizo vita na matusi ni ukweli. Little did I know nimebebewa ubongo kwa mkoba…

1 Like

Yes we know WWE and Hollywood movies are scripted but I would rather watch Undertaker or Chuck Norris kicking ass than ummeffi showing couples crying over shit

1 Like