Sometimes back nikiwa young bachelor, nilichat na kunguru zile night chats, small brain ikaamka vibaya so nikauliza kuguru kama tunaweza patana saa hio - mind u ilikuwa 11pm usiku. Ikaniambia sawa but ikona problem ya small money niende nazo. Coz the lower small brain was thinking ‘nikaiambia ni mimi huyo coming’. Immediately ikatuma vitu zinasafisha macho enticing me nikimbie. Boychild akagarisha macho, duthi ikaguruma, pap akalala.
Morning napata 10 missed calls and messages from this kunguru. Lo! Nakumbuka sikwendea puthy but thanks to inventors of duthi nilisave money, kuibiwa usiku, nikajisave from stds, soulties, etc.
Siku hizi small head ikianza kufikiria sana ama kuentisiwa sana na makunguru, naenda kwa uwanjo (naish iesto kuna uwanja) nachapa laps kumi by the time nimalize naema mzee ametii na akasahau, ata hataki. And thats how i have managed to be a billionare
Years ago ushago kulikuwa na vichaka so we used to go hunt in the weekends. Kulikuwa na village boys who couldn’t go with us but wakisikia dikidiki ikipiga kelele wanakuja mbio kama mavultures coz wanajua kuna mlo - tulikuwa twawafukuza ka mbwa. Wengi wao ni mamas boys mpaka mmoja leo 40 years anahuntiwa mpipi na babake. Do not be kama hao - ingia kwa kichaka hunt!