Truckers

Wadaus na wadauwes. Between FH and Frr ni Gani POA in terms of reliability? Nataka kudunga Hiab crane ya kuinua poles za stima!!

@amun uko wapi
@Meria Mata amelewa mnazi ataonekana huku Tuesday

FH is more reliable but FRR is convenient kama driver atalala kwa bush coz of the small sleeper/bed in the cabin.

I prefer FRR more that FH though zote can do the same job

deree wa FH atalalia tu steering :D:D:D

Plus huskia brakes za FH Ni unreliable sana … Reason ya freno Kali… Is it true that?

Frr ni poah

Zote ziko sawa. Nukisha kitunguu brathe…

FH is the best

nafikiria kuanza biz ya kuendea viazi kwa mashamba huko sides za naks, unaweza kuwa na info on transportation?

Pole sina info ya viazi ya molo

Eff aR aR

uko na info ya za wapi??

Few years ago there’s a pal of mine who took an Frr ya loan akaenda hiyo biarasha ya viazi kuleta marikiti…things didn’t turn out well. My advice to u is
1)Gari ya loan wachana nayo unless you have another biashara itacompliment kulipa.
2)Try hiring other trucks if ur business margin allows.