[ATTACH=full]207055[/ATTACH]
Mimi hata na dawa siwes simama kubeba ama kusaidia mtu kwa njia… I drive like I am being chased / in a race…
Hiyo stretch ya Mai mahiu to Naivasha kutoka kitambo imekua na cases za carjacking sana.When amarios was alive ndio kulikua kubaya zaidi