Tricky Sanar

So niko ocha. Niko club with my friends. A lady mwenye sijui akaorder pombe akasema niletewe personally. I assume and continue drinking. Then nikaona nitabebwa ufala. Nikauliza waiter mwenye anabuy anakunywa gani akasema Remy Martin. Nikaona ni bullshit. Siwezi repay pilsner na Remy Martin. After a few minutes the lady akatuma drinks for me and my two friends sasa. Nitajitoa abaki akijiongelesha. After all, I didn’t ask for drinks na mimi sio fala ninunulie dame sijui Remy Martin. Call me a peasant but wacha niishie. Sande

[ATTACH=full]216905[/ATTACH]

Umekunywa guarana ngapi ya magay sponsors leo

Who stocks Remy Martin Uko mashambani

It has to be you, always.

You do need some help. Speedy. Si kwa ubaya.

Hii story ametoa reddit wacha niweke link:D:D:D

Akafanya tweaking kidogo ama?

Fake and gay

Remy Martin gichagi? Lakini huyu msee hutubeba ufala aje?

Labda OCHA kwao ni Nairobi

Inafikanga pahali mtu amedaganya saana mpaka haaminiki tena…

:D:D:D

Afadhali ata ungesema gilbeys,viceroy au konyagi tungekuamini

:D:D:D

[ATTACH=full]216918[/ATTACH]

Ocha no Karen

Kwani Vienna imebadilishwa jina siku hizi inaitwa Remy martin?

I do not want to know if it is true or not. Iko wapi part 2 ya hekaya?

Hii brown skin “singo matha” inatubeba ujinga

Brown skin wewe kunywa pombe za wanaume hapa sema at dame fulani kama ni kuchunishwa sukuma si usazoea?