Trevor Noah na Bill Maher wamekataa hiyo maneno!

https://www.youtube.com/watch?v=GqD0rhajhr0

https://www.youtube.com/watch?v=INHKjO1rJao

Trevor mlisema Dio first symptom ya kuidentify mtoto wa singo momma?

bruuh kama unaona maisha ya ndoa itakushinda ,then leave it n go in peace

Bill maher marriage life ni umeffi tupu.

Ndoa achia wapendanao, wewe focus kwa kunyonga monkey na kukula makunguru

That’s easy but society won’t let you have that peace.