Travelling using lorry za mzigo (Trailer)

Kama sina doh na ninadai kufika Kitale then Turkana kutoka Nairobi na hizi lorry za mzigo, nitakachora aje. Wajanja wanichanue…

Vaa kama Dem alafu Patia dere mkia.

1 Like

Ingia LTF forum hapo MKZ utapata lift

1 Like

Lazima upeane mkia kijana