Travel Thread

How many countries have you been to? Where do you like the most?
I just returned from Spain, amazing country! Want to come back again next year.

NV pewa kiti kwanza
Been to Pluto na sisumbui

Ati pluto only…mimi nilienda ile universe ingine na sijaambia mtu…

Humbwer! nimekuja kuona picha za ur travels kumbe ni click bait…
Jeenger kapisa

in the year 2009 niliendaga Pandora…kutafta unobtanium

Tulisimama hapo kunywa chai…nadhani ni mtito andei ya huko…

[ATTACH=full]216263[/ATTACH]na mimi nilikamau hii huko

[ATTACH=full]216266[/ATTACH]

Chai ya Pandora inataste aje?

Mimi hadi nimeenda tezi na Omo,na kurejea ngamani,na sisumbui

Mimi nilithiì nìkiumaga na ndio narudi saa hii

:smiley:

Iko na uchahu kwa mbali…

Mimi nilienda ahera na nikarudi. Wacha kusumbua sisi mjinga!