Transline Classic is now ENA

habari ndio hio
[ATTACH=full]202464[/ATTACH]
[ATTACH=full]202463[/ATTACH]
[ATTACH=full]202465[/ATTACH]

[ATTACH=full]202466[/ATTACH]
[ATTACH=full]202467[/ATTACH]

[ATTACH=full]202468[/ATTACH]
[ATTACH=full]202469[/ATTACH]

[ATTACH=full]202470[/ATTACH]
[ATTACH=full]202471[/ATTACH]
[ATTACH=full]202472[/ATTACH]

Ukiandika abbreviation andika pia the meaning… Nikee we!..suspect anatambua 4*4 yake

The rebranding should have involved a change of colour too. Truthfully,despite the company plying the Msa-Nbi route and other routes beyond,I have always seen them as going to Kisii only…

[ATTACH=full]202473[/ATTACH]
[ATTACH=full]202474[/ATTACH]
[ATTACH=full]202475[/ATTACH]
[ATTACH=full]202476[/ATTACH]
[ATTACH=full]202477[/ATTACH]
[ATTACH=full]202478[/ATTACH]
[ATTACH=full]202479[/ATTACH]
[ATTACH=full]202480[/ATTACH]

[ATTACH=full]202481[/ATTACH]
thread closed

Savage!

I hope hizi basi mupya ziko na compartment ya miwa

Pheuks! Nilikuwa nimechoka na izi za kitambo mpka nika opt For shuttles. Wazi

hizi basi kwani hupita wapi i only see them going to kisii hizi routes zingine sijawai patana nazo

Wakisii kama kawaida ni watu wa maendeleo.

hii kazi iko na wenyewe, sio ya cowboys kaa mimi na wewe.
20 new buses ni pesa ngapi?
tafakali hayo

tembea kenya my fren

jina ya shuttles mtaani ni tablets.
kwa hio route yenu umeona tablets ngapi?
A109 msa kuna resistance kidogo but if they up their driver attitude it will catch on.
too drunk siwes leta mbisha saa hii.
@Ice_Cube saidia na mbisah za tablets za msa nrb

Walai hakuna gari nyengine ukimbizwa kama hii kitu

tembea kenya. Hizo basi hufika Siaya, Busia, Kisumu, Homabay, Mbita, Migori-sirare, Kendubay

mdau,niruhusu niseme, msa mld, hii route ndio moto, experienced derees have to get there and turn back, on A109 ile horror inatokea nikwa hizi bus za msa mld, ata mkifika mtito mnapewa 10 minutes.
mark my words bro.
gari za western sijui lakini …

tell us about kawere and classic
yaani bus companies are owned by faceless kenyans

Kutembea Kenya nishatembea boss. Read my statement again…it was an impression I had. Which was put paid by the pics that mshitoo @Meria Mata has supplied

Interior?
Service and way of operation is what let’s down our long distance bus companies.
That and the fact that you have to go to downtown to board these buses.

Buying 20 buses is not a miracle, Kuna something basic watu wa transline wanaelewa ambayo very few businesses in Kenya understand “customer service”.

Ujinga ya kuongelesha customer upuzi, kuibia customers, not replacing worn out interior+exterior parts, not washing the interior, unless imeanza kunuka kama danguro etc, ndio vitu hawafanyi. Mkisii akitaka kuenda nyumbani, the first thing inakuja kwa kichwa.
Transline classic understand that the customer is King.

Hapo ndio 20 buses zinatoka.