Train cum commuter bus

Hii ukiambiwa wawili iende then ukiingia ni empty unaskia kunyonga that beba beba guy

hii ni ya kupanda during rush hours only. Na pia nimeona kuna provision for standing passengers… which is a violation of the current Traffic Act.

Si unachungulia kwa window uone kama wasee wamepanda…Kuna place fulani ndio utaona mat enyewe imebaki na slots mbili.Ukiingia unaona wase wawili wanashuka. Kumbe ni ma passenger ghost wa ku zubaisha wasee.In the long run uta realise ww ndo ulikua passenger wa kwanza.

Wanaitwagwa wa kupiga set. Very frustrating if you are in a rush.

2 Likes

Gari za Umoinner zina hii tabia sana.

Hiyo kitu ni mbaya…unaweza cheleweshwa vibaya…kuna design fulani Ksm, gari inatoka ni kama inaenda. Inafika kama 200m mbele then inarudi. By the time you realise. Itafanya hivo kama mara 10 . Ume waste one hr ikikuzungusha. Ukitaka kushuka wana behave ni kama wanaenda this time. Only to reach 300m wapige kona tena.

1 Like

Afadhali umoinner. Za buru usiku naeza lia. Mtu hununua chipo na kuku unakula pole pole

1 Like

in embu they even carry luggage to seem more realistic. akishuka anakuambia niangalilie hii mbag yangu narlundi

3 Likes

Wanaitwa kamagera wanalipwa mbao hio kazi yote

2 Likes

Kamagera ni wale madere hupewa gari kufikisha mwisho.

2 Likes

:D:D:Dkumbe si mimi huwa frustrated na hii design.

:D:D:D

Kule Kisumu wanakulipisha nauli chap chap. Hapo wamekuwai kabisa.

Kuna siku nilipanda matatu ya hizi sacco fake pale nyeri kuelekea Nyahururu wee nilikaa hapo for 2hrs saa hizo 4nte zinajaa haraka sana niliacha hio pesa ipotelee

1 Like

Saw it with the Rongai matatu.

Hii mbuss inapiga corner aje na vile road za huku ni konda

hehehe but iko seti. interior is designed for comfort

Hapo katikati kuna kitu kama accordion (ile kinanda ya Munishi) which is flexible so hakuna noma kupiga kona

4 Likes

Ushaipanda? mi naogopa hizo vitu juu ya rush, nachukua dinga ile inatake the least amount of time kujaa

Ziko mobest hizi ma areas. Very comfortable especially ukikaa hio half ya nyuma. Kuna ile swaying feeling

1 Like