Trailler imeangusha coil

A roll of coil has fallen off a trailer under the Taj Mall flyover. It fell on a MATATU.

[ATTACH=full]202931[/ATTACH]

Weuh!! I hope no one was injured…

Reports indicate no injuries,
[ATTACH=full]202933[/ATTACH]
[ATTACH=full]202934[/ATTACH]

[ATTACH=full]202935[/ATTACH]

ngori sana. hii ikikulalia utasaidika aje?..

That’s some scary shit right there.
And you will normally see this tuNissan tukikata mbele ya truck or like in this case squeezing against it at a roundabout.

VC that coil weights how many tons? Mbona matatu imeinama sana

respect trucks

Jehova…embassava

15, ndio maana truck hubeba mbili tu

:eek: Na vile mimi hufikiri such trucks are underloaded

Wah, his kitu ni heavy
.

Ngori ni hiyo kiti ikunjuke. Inachinja binadamu na wanyama na miti bila ubaguzi.

Was it not tied down and chocked?

shait,yani kifo skuizi inatafuta watu kama kwa Ile movie ya final destination…I just hope hio ma3 haikuwa imebeba watu

Weeh! i dont know but si hii coil ikifunguka ni kukata kata watu vipande vipande, huwes niona haop

kitu kaa hio

:eek:wololo!!!

Imefinya hizo vitu zikashikana na floor, kama ingekuwa mtu unakuwa minced meat

kuna mchawi huku ktalk, ilipostiwa like a week ago but hiyo ili roll ikabonda kichwa ya truck

hehe, naalikua amenitag