Traffic Update

Msee leo ni noma. Watu wa loan mtatumaliza kwa izi streets, kila mtu ana gare sai, ustake ona jam tumepata pale jogoo road sahii usiku na venye inawaga nyweeee. Tuko apa Doni raunda sahii, imeshikana mbaya. Naskia kutoka sides manyanja road kuenda tao imeshikana vimajor lakini sisi tushajipin juu kuenda harrys apana mbaya. Nimetoka inje nikacheki pia kutoka mtindwa pia ngoriiii. Walevi wako pande hii mtafute njia zingine.

1 Like

[ATTACH=full]54871[/ATTACH]

5 Likes

Ticad conference

Inawanga=huwa

2 Likes

Hata wewe hulewa harrys msee? Lakini on a good weekend huyo msee hurokota in excess of three milli

2 Likes

Ukweli hio club hua na wateja throughout

1 Like

Hao huoperate 24/7 i guess wameweka ocs na ocpd kwa mfuko coz kukiwa na crackdown na round up on other clubs hio haiguswi polisi huingia wanakojoa na kutoka saa hio wameonjeshwa nyama

1 Like

Lami imechimbuliwa kutoka stella hadi just before caltex

1 Like

On sato or Sunday, getting even a place to sit ni ngumu sana. Halafu pia drinks are fairly priced.

1 Like

Was that the cause?
I thought they have created a diversion.

That diversion is poor for the kind of traffic that stretch of road carries

Nairobi tuliwachia upcoming and up country guys wajifurahishe.
Buy a plot outside town and build your home, wacha kunywa kunywa pombe ovyo.

Even if some guys did stop taking alcohol, the resulting extra cash cannot buy land.
Do you assume that people down the likes of Moet?
Instead if you had told them to look for extra streams of income and thus buy land I would have seconded.