Traffic accident with a KQ plane

[ATTACH=full]114365[/ATTACH] [ATTACH=full]114366[/ATTACH] You think you have it bad, check this guy who put a ‘dent’ on a KQ plane jana usiku,it was destined to depart to Johannesburg. Flight had to be delayed till today. Lol, alafu hapa traffic police ndio atakuja aandike statement ama kunaendanga aje. I’m actually feeling very sorry for this driver

1 Like

Waaart, police lazima wakuje wajue who is to blame. Wafanye investigeshen

1 Like

Hiyo ndege itafanyiwa panel beating ama ni write off sasa?

19 Likes

Wii,isn’t this like putting a dent on a Bugatti? Hakuna vyenye angehepa kama hule mjamaa Wa hekaya ya pale GM?

2 Likes

that looks like a tear to me rather than a dent…:slight_smile:

1 Like

I hope insurance covers this otherwise mtu atakatwa mshahara ni kama mortgage analipa.

1 Like

I can imagine that dere calling his boss amuambie, ‘boss ni kama nimepata ka nuks kidogo. Gari imekata brakes ikagwaruza ile ndege ya 1930hrs kidogo. Lakini hakuna mtu ameumia.’ The boss who is a former matatu owner knows this type of call only too well, he hangs phone , swallows the simcard and takes next uber out of nairobi. Kameumana

36 Likes

This is the nightmare matatu investors go through. Ukiona simu ya dere unashuta juu hakuna good news. Ameguzwa, ameguzana,ameshikwa ama gari imeharibika kwa highway

7 Likes

:D:D:Dwoi na Boeing 777 costs $320.2 million ingekuwa ancient times that guy and his ancestors wangekuwa in bondage for 1000 years

8 Likes

Sasa huyu alikua na nia gani jameni

Reminds me of a certain call my pops received at night as we waited for on of his tureiller to arrive. Dere anapiga simu ati amepita na mbwa kwa barabara ikaingia ndani ya engine…i don’t know how that happend but it did.

4 Likes

That’s a huge tear, kwani how fast was this driver cruising? Ama hizi ni effects ya zile pombe wanaibanga from travelers baggage

1 Like

Hehe…siwatareplace panels za hiyo section?

2 Likes

karma amemkuta

1 Like

Huyo dere atapeana hekaya na nusu very soon kwa hii site.

2 Likes

@Meria Mata njoo kiasi

4 Likes

@introvert papa hii inawesa pikika panel peating??

:D:D:D

navenye KQ wamekuwa wakichukua ma ‘L’ amushua mr.ceo ako y the hell didnt we fire this guy along with the others.

Makosa si ya pirot wa ndege, uyo pirot mwingine wa hako ka truck ndio amekosa