Walimu wenzangu wote na @gashwin headmaster, naona nikama TPAD inakufa mwarimo, wot yo think Sir? Jibambe na na huyu shosho kiasi ndugu yangu. @introvert salaams tu ndugu, kijana ako nyamnya upi?
[ATTACH=full]188636[/ATTACH][ATTACH=full]188636[/ATTACH]
Mwalimu vipi
Safi sana ndugu, shukrani kwa kunijulia hali.
whorathis??
Kijana kama hujui TPAD, tuliza kende. Hii ni yangu na warimo.
Bado, kinembe sijaramba vipi mwanangu?!
@Lecturer kimbia hapa.
Hizi transfer za kina @gashwin ni cosmetic kwa saii. Ngoja mitihani izo mnataka ku paralize zipite mjue Kenyatta ni nani
We ndugu yangu, unasema nini? Btw Ulisema hukuji kuona kaschana? Wewe kuja ona mimi ndugu hata kama naona watu nasema wewe ndio mwenye ktalk.
Poa saidi Mwalimu.
TPAD itaisha ikuwe kama Helipad.
Kijana ako fit.
Anavuruta tu urefu na makati inaenda kama njugu.
We make it clap,we make it clap, we make it clap!, yaani ktalk hamwezi saidika, najua kuna mtu atanukishaa kitunguu, juu yangu n fam, anyway, yo lucky.
Hata Wileli house, hapa naona hakuna mtu naweza piga tour hadi Eastleigh, na sio hii ya Nai, ni NAIVASHA NA HUKO LENTOLIA, kijana kuja mwarimo akupe raha bahari bake, mbogo nashtua na mbajiti nabisha sisi, btw, when not in school,mimi Naivsha na bhatalii.
Hii TPAD @Elgin hamuipendi. Mnaweza abolish kisheria?
Hii TPAD @Eng’iti itamalisa sisi lakini kabla itumalize tutaimaliza.Hii apana ipenda hata.Hizo transfer zinavunja familia.Kuna nilikuwa nimepewa niende nahuku Ng’arua Laikipia nikakataa.Unanipelekaje kwa wapokot wanimalise?