Toyota Hilux or Isuzu Dmax?

In need of a mini truck, double cab. What would you advise between the two options above? Sana Sana In terms of consumption, performance and toughness.

Shika Probox…ni Pickup, saloon car, PSV na tinga bado…good on fuel na performance iko sawa.

Haka kamsupa Kako finest.

images (3).jpeg

D-Max… Ya 2022 if iko

Toyota Hilux ndio mamao…mbona wameru hutumia Hilux kubeba veve. Toyota iko strong. They tried D-Max na miraa hikuwa inafika soko…Dmax iko na weak Differential…Hilux can take the abuse from the Miraa industry.

Not in this day and age.

Cheki shasha!!!

https://www.youtube.com/watch?v=73sUlBLYThQ

Hehe, pilot anatoa maoni kuhusu Hilux

Dmax ikigonga hizo bump inaangusha differential na kukojoa Diff oil kwa lami

Juu hutumii gari venye inafaa. Hiyo miraa, isipokua tuko Kenya, inafaa kua packaged vizuri, iwekwe kwa refrigerated trucks ama vans. Hii ujinga ya kukimbia kwa barabara uki risk maisha ya watu inafaa kuisha hata

Hakuna vile vaites can go wrong.

Nunua D max ya 2022 ufurahie forever…nunua Hilux for re-sale value, capitalizing on people who does not know better.

Uko sure?

Toyota is king bro
Screenshot_20230509-212530_Chrome.jpg

speaking from experience of both machines i would prefer a hilux because it has an offroad advantage and better diffs than the isuzu d max but the isuzu doesnt consume like the hilux , hilux is also higher ground clearance meaning going to the bunduz is a walk in the park. for me a hilux will give u better value if your planning to stick to it long

Isuzu ndio gari ya biashara. Don’t mix business and pleasure.

waambie

hao walizoea toyota ni ngumu kuchange akili yao na mbona saa zingine wanatumia fsr

ubaya bei wameongeza

What will you use it for?

Compare Hp, fuel consumption na durability.

Hilux yangu iko tu sawa