@Yuletapeli hii gari inakaa safi but since i am a fan of big cars, that price will give you a Toyota Harrier Hybrid
Very good and elaborate sales pitch.
The only disadvantage is the ground clearance.
Iko chini sana and with numerous bumps on our Kenyan roads gari huumia sana.
Unaendesha jalopy model gani mkubwa…?
Unakaanga mujamaa wa Fielder.
Fielder nilikuwaga nayo kitambo
Huwa nimekufia hii gari. The design is just something else lakini hybrid issa no.
Crown huwa na class yake, na huwa tu imenimaliza kiroho safi.
Naona hadi @Benn_Dover ametii. Na unajua yeye ni mtu wa kupenda magari.
Mimi hiyo bei hapana, There are better cars for that price. In fact, hiyo bei naendea German Machine kama staki Harrier
Hakuna kitu poa kama kukua na gari unajua unaeza kaa nayo 10 years na engine isilete kichwa. I value reliability and peace of mind and the car is no slouch either. If you buy the non hybrid bana sioni downside.
j
Gari ya 10 years na above ni either premio ama rav 4 na bado mita mbili zimebaki kwa account ..wachana na prado na hizi macrown aesthetics excess za kuchocha tu
Are you trying to say that premio is a more quality car than crown? Crown ni flagship saloon ya toyota. Kitu inafanya ichape haraka ni ground clearance iko chini. Hiyo ni gari ya lami pekee yake. Premio ya @Yuletapeli na crown haifai kua kwa same sentence.
Add fielder and Axio. And I think even probox
Nawinda crown. Hio siku itafika tu:grin:
Hii gari nilijaribu kufukuzana nayo thika rd super highway…niliona giza. Its stable due to low c.o.g and had more HP than my car. I gave up…
Shika hii kitu. We ni birrionea with money to spend.
I like SUV coz of space…ukiwa na family unataka kitu spacious…i like to take family off rds like to national parks and a high 4×4 comes handy
Malaya ya Ruiru anakuweka pressure unaanza kukimbizana na na magari? Wewe infaaa ukatwe jengele
Toyota Ist haiwezi fukuzana na crown
Ile Demio yako inaweza?
Ubaya wa Crown ni hi ride height na LWB yake. Nimespot kadhaa zimekwama kati kati ya hizi non-standardised bumps za huku.