Tough times

Siku hizi vijana wengi wako 20-30s wanauza tropical na cough drops kwa bus na matatu. Maisha imekuwa ngumu sana.

Kwanza hio ya cough drops…lazima ukuwe na product knowledge to entice customer to buy.

Remember when Uhuruto promised 1.3 million jobs per year for Kenyan youth if they got a second term?
[ATTACH=full]448479[/ATTACH]

Kheri they be hawkers other than thieves…

It is hustle brah, just imagine those dudes now just want to change to guns and rob those who have made their fortunes? Let niggas hustle you idiot. You got a thick brain and dumb eyes that can’t see the sense in what you see. Oh brah sorry for this but you need to open ya mind

The founder of Magunas Supermarkets started as a hawker in Múrang’a town. Wale wako na bidii na focus hutoboa btw

Uchumi itakuwa mbaya zaidi tukiingia 2023. Watu wapunguze kuzaana, na watie bidii kwa zile vitu zinaleta faida, bila kupenda raha.

Wengi ni NSIS.Hio packet moja ya cough drops ukiuza faida ni 55bob na tropkos ni 60bob.Hio ku hawk switi only makes sense if you are able to sell like 10 packs a day which is impossible considering hao ‘hawkers’ ni wengi.Same na pale downtown area za Nyamakima.Unaona jamaa anachoma nduma na ndizi anauzia watu.Ukipita same spot after 2-3hours unapata nduma bado inachomwa moss moss mara inasongeshwa karibu na moto,mara insongeshwa mbali etc etc,pia hao ni NSIS tu.Kuchoma nduma moja the whole day haijawai lish mtu Narobi.

On this one I agree with the Enigma. I know of a guy who once employed a herdsboy who just came to his farm knocking asking for any job. The boy worked for him for 2 years for a salary of 4500/- only only for my friend to realize that kumbe he was on anticorruption watch list and the herdsboy was a spy with specific daily reporting duties to his bosses in nairobi. How the affair ended is a story for another day.

Vijana wengi wako na kisirani Sana , kwanza weka picha hapa ukikula maembe ,utavaamiwa nikama umeua mtu:D:D:D kina @Dzunza ,@Weyn @Nipe Nikusifu ata birrionare @Yuletapeli ukionekana ukikula anything inahitaji pesa utapelekwa mbio mbio Kama mwizi wa kuku .
Punguzeni visirani vijana na mfanye irrigation hapo Nairobi river kukuza spinach na kales

Tunawaombea wasikose

Did it end with a bullet? But just know, if you ever employ someone at 4500 a month, all he will do is steal from you. He will make 20k a month but thieving and using your property.

ao huwa informers, wengi wao ni criminals, lakini hawafikagi mahakamani. saa zote wao huwa indebted kwa watu wa nis na askari.

That’s why in August, TINGISHA MTI.

Kwanza wizi iko juu saidi banae, na eti bado

fake nyews enda danganya nyanya yako