@touchlyrics a.k.a demakufu.... msee unatambulika huku

@Touchlyrics i was in a club jana here in Berlin and i saw the below video by you ikichezwa in a club. It was an African pub with several TV screens playing music. Kidogo kidogo i saw this video mix that u made…manze much respect. BTW the club ni ya wa nigeria…nicca u are going places mseh…the moment i heard DEMAKUFU nili inua mkono kama mkenya ameshinda Gold pale Rio…was saying huyu ni wetu…much much respect

https://www.youtube.com/watch?v=ezdKId6LzN8

11 Likes

MOLLIS…

wewe @steve mmoja si nlikushow uwache ku kunia thread za myne…meffi.

Kidogo kidogo…

Uyu mjamaa sio demakufu

Yaani ukweli huyu msee ni dj? Ama yeye hupost tu links za new dj mixes

:D:D:D:D:D:D:D:D ngombe kwani ulikuwa umeulizwa swali meffiiiiiiiiiiii

1 Like

Nkt. Of course I’m not demakufu, hujui Niko na masters ya forestry? Ama hujawai niona pale prediction kings ya @Tommy Lee Sparta Friday night nikichat while DJs are busy spinning? Nwy it’s good to know demakufu is becoming a big name, more money for us. Muulize touch lyrics in nani atakuambia. November atakuwa Dubai FYI @Jirani, tokea na hao Malaya wako

1 Like