.

Uzito wa Mazito ajuaye ni m’beba
Utamu wa raha ajuaye yu kwa bembea
ila kwa mengi yachanganyika
Asali shumbiri, Shumbiri Asali
Kisha subiri tena yaandaliwa shumbiri
Maisha machungu yan’jaa uchungu
kufa unatamani
lakini kufa, hutatamani

Guguuu yaweza translate hii kweli ??

The true weight of saddening things are known by the one who bears them
The true sweetness of happiness are known by the one who is experiencing it
But in most times, sad times and happiness come mixed
good times, then bad times. Bad times then good times
Then after a short while, bad times return
Life is full of bad times
Till one wishes to die
But once you die, you’ll want to live again

There you go

Ahsande saaaaaidi makei biggy.

lol

next tym sitaficha sana …ntachagua words rahisi na kuzisuka juu juu