Nani alikibilia top layer akiwa high school kama mimi.
inakaa hio ndio kazi ulikua unafanya saa zile kiswahili ilikua inafunzwa
19 Likes
:D:D
1 Like
Top layer na crust ya mkate ndio upewe slices nne.
Gîtheri kîu no nyende takîo!
10 nil:D:D:D:D
[ATTACH=full]26044[/ATTACH]
you guys are just crazy
Mimi, nikosa top layer naweka mkarango nafyonza hio githeri mpaka nalamba sahani
Mkarango…