Nimekuwa nikiwaza Biashara ya tools kama Ingco and Total, which btw are the same exact tools only different enclosures and with different pricing too. Total Tools are cheaper. Sasa nawaza bringing in a new brand of tools niweke kwa duka nimefungua juzi hapo OTC new building. Chinku wale naongea nao wanasema they’ll provide display signage na kosokoso zingine. The idea is nikuwe distributor wa hizi new tool brand kama vile kuna distributors wa tools kama Tolsen, Total na Ingco. Sasa Ngimanene akuwe national sole distributor wa hizi new tool brand. Lakini hio capital outlay sio mchezo, lazima niongee na jamaa wangu wa maloan even as I study the tool market more.
Tunajua jamaa wa loans utamuzia mkia upate capital
Kuja nikulipe 150 umpee on my behalf, kiviiiii kia kuona wanaume in underwears
Na ulete free samples nizipeleke Kwa mijengo yangu nikupatie good reviews online
Unataka tools kama gani? Na btw pale China Kuna Canton Fare kubwa Sana, twende tujionee
[ul]
[li]Phase 1 From April 15-19, the following items will be on display: Electronics and home appliances, lighting, vehicles and accessories, machinery, hardware tools, building materials, chemical products, energy…[/li][li]Phase 2 From April 23-27. It will feature exhibits of daily consumer goods, gifts, and home decoration…[/li][li]Phase 3 From May 1-5. On display will be textile and clothing, footwear, office, luggage and leisure products, medicine and health care, food…[/li][/ul]
enda CHINA CITY HAPO THIKA ROAD , UONE TOOLS BUDA , thats your competitor uki wezana jump in mdau
Nitaftie table saw ya tolsen
Ukishafungua na imestabilize kiasi,wekea mimi coordinates nije niku promote chini ya maji.(bila asking for mkia)
Mimi nahitaji set ya hizo tools at the moment i own tape measure na pipe range ya Total,sio mbaya zimeni serve for the last 5years.
Sasa nahitaji zingine zote from screwdrivers to hammer from that brand
Inakaa nowadays we are tolerating each other.Najua you are remorseful for electing a jambazi after kicking your own in the stomac ruthlessly
Total? Looking at a different brand since Total already iko na national distributor. Anyway, karibu new shop hapa new OTC building, ingia zozote hapo ground floor nitakuwa nimeshukuru
Available at Multi Tools K Ltd