Where can I get real treatment for gas
start by eating a lot of veges with your haricots…also try to isolate the foods that cause the gas such as lactose…
@Bingwa
consult amongst yourself…
1146th handle
Hehe. Take eno. Have the same problem until last week doc akanishw nianze na eno before anything else. One satchet after umemaliza kula. Max 2 per day. Ikizidi see doc. Sometimes kula veges haisaidii juu the acidity level kwa tumbo tayari iko juu.
harvest it, extract methane and you’ll be rich.
Maasais aka dauwo wanahawk dawa poa sana. One of the use is to relieve this gas. Ona maasai and thank me later
Hii nilikunywa nikaharisha mpaka bubbles. Terrible day that was.
:D:D:D:Dshida yako ilikuaga gani mkubwa? Ama ni ka ya huyu mujamaa?
Hiyo time sikua na issue. Si wao husema ina format system unakuwa hauna issue any… Wee, that concoction contains Devils cum. Nilihara mpaka nika open bible nikaokoka.
[ATTACH=full]52506[/ATTACH]
:D:D:Dsjai cheka usiku ka venye nmecheka. @introvert come here
Avoid dairy milk. Usikunywe chai ya maziwa.
Niaje Gathuria Muhu?
unajua ni possible keindesha hadi the bowels turn inside out…and then someone has to come with a banana stalk and push them back in…ustake jua
is this meant to be a serious forum or just jokes? very hilarious but no help!!
heheh
:D:DMunachekesha
Hahaha…:D:D:D…Umenikumbusha msee alikunywa akafunga leso, na akaketi karibu na choo na panga…mtu asijaribu kuingia coz inatoka bila brakes na hana time ya kusema toka niingie…
Deworm, and reduce intake ya legumes, cereals i.e. beans, lentils. And sikiza mwili yako if you eat something and your body reacts strangely avoid it. Na maji Ukunywe it guves a message to your body that you are full and you can release what isn’t needed in the body. Train your body to go for long calls early in the body or past 6 pm then it can clean itself na don’t eat heavily. But gas ikikuja achilia ni kama Holy Spirit imekufika hafi kwa eyelashes!