Too many iPhones with cool kids

Kwani hizi iPhone wanatoa wapi ama ni za kuomba?

Ni social currency ya the new generation. So utapata mtu saves or even buys with a loan. I know many people with iPhones but kwa mfuko nothing. ni funny when you’re drinking alafu you’re the one paying with a kabambe while watu wa iPhone that’s the one time they pretend not to use their phones.

mwisi kwani umeiba ngapi?

Yeye amevuta Ile kitu anaona simu ya itel ni I phone

refurbished 2nd hand iphones, cheap and plenty. ingia ata jumia utazipata

Alafu jifunze kizungu. Your title sounds like iphones are now the parents of cool kids.

I was expecting a comment like this

Hmmmmmm

Atasoma saa ngapi na kazi ni kuwaylay watu kwa chuom usiku ndio awanyonge.

Gondi…ukiiba iPhone sahau ku unlock. Unless uitumie kama camera only

Hehe…umeibia cool kids iphone kumi hapo usiu sasa umezitandaza kwa kitanda unaziangalia umeshindwa ufanye Nini nazo

I still don’t get the fascination with I phones. Macs, I understand; the phone naaah.

been using a smart kabambe for over 1 year, thing is a lifesaver, bill ikija unahurumiwa

hata mimi sijawai tambua those restrictive user unfriendly devices. kitu nazipendea ni vile they cant be flushed

Huyu mwisi wa Kayole amejaza silver kwa meno yet kwa akili hakuna anything.

IPhone has that “wow” effect kwa madem who still think its a big deal. Alafu wezi kama @johntez addi gaza msafi rarely steal it.

Imessage

Tumekuonea 18,sema tu unatafuta mustiri was kuuzia izo stolen mikebe but hupati ng’o.

Siku nilikua Mombasani nilikua nachota madem Bella Vista vibaya sana juu ya iPhone.Iphone 3GS ilikuwa imetokea.Nakaa kwa counter halafu nascroll contacts from top to bottom dem amekaa next anaangalia aki drool.