Tony, Street Comedian Wa Kencom Ma Late 1990s & Early 2000s Alienda Wapi?

Back in the early 2000s there used to be a comedian hizo maneneo ya Kencom na Aga Khan Walk. The guy used to crack jokes hapo surrounded by people who would later donate coins to him.

Jamaa Yuko Wapi?

Hizi maswali enda hapo Ruaraka kwa nyumba ya wazee uulize agemates wako.

Camitee?

Wazee wenzako wanakula pension na wajukuu na wewe uko hapa unatafuta wanaume wazee …hii ndii MGTOW?

These nyumba za wazee will be big business in a few years. Imagine all these single mothers without husbands to stay with in old age, these gen z kids who aren’t willing to take care of old aged people etc. If I were a developer, I’d be buying land in bulk in the countryside to set up care homes for such in the future. Shida itakuwa kupata nurse wa kmtc mwenye ako ready kuosha mkenya mwenzake.

You use a nursing aid. Nurse ni kurushia hao wazee matembe.