Tommy in Club 69

so tommy easter holiday got invited to club 69 …nilikuwa na entourage ya watu over kumi so kufika entrance bouncer anadai kuingia ni punch…unapewa 2 beers …

ile kitu bouncer hajui zile bets tumekamua ata hatuoni kama punch ni chapa…

tukalipa tukaingia…

we were just dressed kawaida lakini all eyes on us like 2pac…

sisi tukienda out ni kuparty …and have fun

so pale tulikaa drinks zikaflow kama dame bila mimba…

halafu DJ alikuwa dotty family…Reggae ilitubamba sana…now tommy and the crew munaelewa reggae ndio zetu na dancehall…ilifika part kriss darlin alicheza ngoma ya Busy signal inaitwa FREE UP

huwa inaenda ivi

Martin Luther black
Malcolm X, black
Marcus Garvey, black
Barrack Obama black
Bill Clinton black
Weh you think bout dat
A whole heap a great
Some a di greatest people
African history document dat

So free up black people

sasa apa tunaimba word to word…dj ana pull up…ana big iyo crew yetu…wacha ma groupie wakuje…dj cheza tena tune …Martin Luther black :smiley: :smiley: :smiley:

sema kutupiwa drinks mbili mbili ati from management…:smiley: na crew tuko karibu mtu kumi…

then Zingine mbili mbili kwa manatty alibambika na crew…:smiley:

waraster ni watu peaceful sana…big up club 69 for the hospitality

kila msee atafute iyo ngoma ya busy :smiley:

7 Likes

KAMA STORY HAINA COOMER HATUKRIK

1 Like

My bae loves that song so ata sikujua nikiiijua nilijipata nikising along tu … That is after kumuuliza bill Clinton… black… how now:D am smarter now . America’s first black president

agrrrrr my bae was listening to that song jana… nikamshow it sucks bigtime! akajam lol. it was my first time to hear it

Mabwana zenu hutembea na TLS. Chungeni sana

10 Likes

:D:D:D:D:D

Hio ngoma busy alichafua

3 Likes
3 Likes

Nimekawia kabla ya kuona wanaume wanaingia club wengi kwa pamoja unless enzi za jam session.
If it happened today, (over 10men entering the club at the same time na wanajuana) i exit the club ASAP (Security concerns)

2 Likes

Cold Heart Riddim iko kali

ni faggot team

3 Likes

hiyo ngoma huwa juu.

Seriously mnasumbua watu kwa club na pesa ya kubet??? Peasants!!!

Enyewe hawa vijana waliacha pesa kwa club yangu, nilipanga line bank siku mbili nikizi deposit. Thanks Tommy

Si kwa ubaya but kwangu watu wa reggae huwa watu mashida shida hivi. Hata awe na pesa aje bado namuona tu kama sufferah.
ION I’m not a fan of reggae/ragga/riddim/whatever but Busy Signal huwa nimemtambua.

1 Like

Hiyo yako ni stereotype, you need to go out more.

1 Like

Hiyo ni banki gani hiyo watu wa bulk deposit wanapanga laini, :stuck_out_tongue:

1 Like

Kuna mwanya mkubwa kati ya bwana na boyfriend :D:D

1 Like

I love reggae. U know Dala. One of the managers wa dohty family. wewe ni msee wa ofaro. I know the reggae in u

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D You nailed it!!!

1 Like