Toilet Mishap kwa Jirani

[ATTACH=full]141949[/ATTACH] Jana was a very important day for some people in this country, for some of us, tulikua matanga tukizika nonexistent entities. Eitherway thats not the reason i posted here today. I think choo za watu wengine hua zimerogwa.
So jana morning i put on my khakis and sandals just like any other 33 yr old to pick the paper and also kuchungulia matako za mamboch wakianika manguo pale chini.

Kwa stairs i meet Karanja, pro jubilee guy, we havent seen this guy since campaigns leo ndio ameonekana, he looks happy and invites me for a bash kwake, he whispers najua hujafurahia hii maneno kuja ushibe nyama tusahau hii maneno which i gladly accept.

So afte i go to his house and everyone in the plot is there, people are already high na some stupid neighbor is already trying to remind me of my drama last weekend with the shouting drama queen. We catch up then i suddenly feel like taking a dump, na hio warning ilikuja na ubaya sana nikajua i have to deal with this asap.

Thing is our aparments are tiny so getting out of his house was becoming a problem wamama walikua wamejaa kwa mlango and i was not in the postion to be bending mbele ya midomo ya watu, gates could open anytime. Nikaona his loo was wide open, and the wife alikua amefanya an extra effort, place was smelling good, even had red lights, nikajua hapa nitaenjoy my session.

Since i wa in a hurry mimi niliingia kama nimefungua longi na kuachilia maraia watoke nje. It was a holy humid shit, kumaliza ndio naona TP ni leaf moja. Anyway sijawai fanya economics but i tried my best kupangusa hio shonde na hio TP, but something happened, nikiwipe, middle finger ilitoboa TP vidole mbili zikaget into contact with the A-hole and ofcourse all the mud that was there.
Kwenda kwa tap, guess what hakuna maji!! Tap handle kumbe nimepaka shonde nikifungua. Then someone started knocking. Nikaskia, kwani nani ako huku ndani? Then someone replied ni Albert, ule mse wa B5, someone kwa background akashout, ule mse wa mapoko and everyone burst out laughing.

Nilishindwa what to do, i couldnt leave the toilet like that, so i got out nikakataza the other guy from getting in, in full view ya kila mtu, juu from the sito you can see directly kwa choo. Went to the bathroom nikachota maji and managed to flush the loo.

Sitawai enda kwa nyumba ya mtu tena. ION natafuta one bedroom from next month nishapeana notice. Price range 13-15k lazima ikue na cabro juu impreza yangu haipendi matope…pia lazima ikue na maji!!!

15 Likes

Hahaha wewe ni dush sana. Lakini hekaya iko poa

2 Likes

umbwa hii , i cant believe i read all that chieth , mtu hajasoma usisome wala usi comment .

3 Likes

hekaya jamaa 90% anaongea juu ya MAFI iko poa aje , wewe templa lazima ni homo na nimekuambia mara mingi

2 Likes

Heheheee @albert umechekecha mimi hii achubuhi

:D:D:D:eek::D:D:D

Hii hekaya iko on point

Shitty post

7 Likes

Kumbe ni hekaya ya mafi, umeffi.

3 Likes

meffi

Waaaaahhh you have serious issues in your life

Georgina Makena wewe ni sumbua kweli.

1 Like

:D:D hiyo ni gold

He he… Umechoma picha sana hio mtaa

kakatie georginamakena vidole kwa mkundu

1 Like

Hii samary hapa

:D:D:D:D:D:D:D:D:D…Hekaya iko on point. Loo izo za bowl sigwes. Alafu loo yenye si yangu I really try to avoid.

They can easily get along coz uyo jamaa anaongea kuhusu meffi na Templar ni jamaa wa TP.

2 Likes

kuja pole pole bana wacha hizo. uwesmake ni jinga tuuu

1 Like

huyu jamaa ndio dame alikojoa( ‘squirt’) kwa kitanda?issues galore

2 Likes

Jaro soja chanua huyo jirani wa @Mwendabai Albert juu ya offer za TP

1 Like

Peasant chronicles.