Today at 5:55pm

There are some events in the Olympics that you simply have to watch them live na sio kungoja repeats ama kupigiwa story na your friends. One of them is the 3,000m steeplechase especially when Ezekiel Kemboi is running. The race will be at 5:55pm Kenyan Time.

Kwa habari zingine,mtanzania wa jinsia ya kike kwa majina Magdalina Moshi alimaliza nafasi ya sitini na saba ( wa mwisho kabisa) katika uogeleaji moto usio wa style yoyote wa mita hamsini. Heko kwake. cc
@Jakoyo

[ATTACH=full]53290[/ATTACH]

[ATTACH=full]53295[/ATTACH]

12 Likes

Mtanzania Maku fudhi natumai u buheri wa afya.

Omutata wewe ni mchokozi, [SIZE=1]ive seen what you’ve done up there. [/SIZE]

2 Likes

Mimi kazi yangu ni kuripoti tu. Sijaongeza chumvi hataa

3 Likes

@Mtanzania Magufuli njoo hapa ucheki Wanadada wenu wameshinda medali ya kumaliza mashindano:D:D:D

16:55 CET
15:55 BST
14:55 GMT

@Okiya

1 Like

@Mtanzania Magufuli hoyeee!

2 Likes

[ATTACH=full]53319[/ATTACH]

Huyu Magdalene sio mkamili wa kitanzania. Huyu ni wa Europa . alienda starehe zake huko kidogo kidogo akajitoza kwa mashindano. Mchukueni hatumtaki.

1 Like

Akajitosa kaka

Elewa Kiswahili cha mtaa …bingwa

3 Likes

Naelewa tosa na toza ni tofauti. Kiswahili cha mtaa mimi sitambui lakini hamna shida. Kwa raha zako. And who the ferk is this bingwa you keep obsessing about.

sasa hii haircut Kemboi alifikiriaje. Ni kama cartoon

1 Like

kemboi kinana wetuuuuuu

kitu kienyejiiii banaaaa