To the workaholics

…in the village
[ATTACH=full]77973[/ATTACH]

10 Likes

Kupata kazi hii Kenya ni hard… Ukipata kazi, FANYA KAZI

2 Likes

Hii picha ni potovu

[ATTACH=full]77979[/ATTACH] [ATTACH=full]77981[/ATTACH]

3 Likes

It’s not that black and white

tunafanya overtime juu ya jam barabarani. ukitoka job mapema unakumbana Na jam ya 3h

Lol I can relate… Ufala wenu huwa mnatuma nasty emails n copy to seniors late to field staff ndo muonekane hardworkers kumbe nyi tu niwasotaji wa githurai na kimbo