To Admin

Kutoka upgrade ya hii site navigation imekua shida hata wenyeji wanahangaika when are all browsers going to be user friendly like kuna browser nikifungua nayo ile button ya next huko chini haiko .Though at least ile jina huko juu iko ndogo browsing in public is OK no wasiwasi

I thought ni kitu ya maana

To admin ni kama kuna robot hapa ama virus inareply all threads that I thought ni kitu ya maana