TLS yaeleza kuwa kuchukua pesa ya wakulima wa korosho ni makosa, vyama vya upinzani kutinga mahakamani kudai haki hiyo

Naam, mapema mwaka huu serikali hii iliingia mtaani kuwapora wavuvi, wafanyabiashara ya samaki, wafugaji, wachuuzi wa mifugo, wauza pembejeo za mifugo, wasindikaji nk. Ingawa walijifanya wanasimamia sheria mambo yaliyofanyika hayakuzingatia sheria hata kidogo. Dhahiri kabisa lengo lilikuwa kutunisha mfuko wa serikali kwa kupora wananchi. Cha kusikitisha, wabunge wetu hawakuuona huu uharamia; walichoona pekee ni lile la kupima kwa rula kitoweo chao!

Ameshatoa kupita flaiova