Title deed

Kuna hii buroti naitiwa , iko place poa next to a main road and two boreholes nearby at a growing market.
Shida ni 20*100 .
Hio naweza pata title deed wadau? That’s the smallest haveever contemplated buying.

Anything below 40 by 80 is equivalent to a pit latrine

:D:D:D[SIZE=4]wewe uko an pit latrine though? ama unakunia kwa nyumba ya kinuthia?[/SIZE]

Hata gate house haiwezi toshea 20x100

Hio hata nyumba ya sungura haiwezi toshea

ongea na neighbor ununue mbili

:D:D:D:D:D:D:D:D

Tread carefully. 20100 most probably is a product of succession within a family where everyone insists lazima aguze barabara hence the thin strip. Labda shamba ya mzee ilikuwa 100100 na ako na vijana watano sasa kila MTU ako na strip yake ya 20*100 bila title.

20*100 ukijenga nyumba ya kuku shamba inaisha

La muhimu ni kujiuliza unaitakia nini?

Lakini akitoa 20 Kwa hio 100 halafu atupe Kwa 20 si ina kuwa 40 by 80.
:D:D:D:D [SIZE=1]mathematics is not my forte.[/SIZE]

Investment tu napenda mashamba . Someone told me hio kaland unaogezewa inakua kubwa with time . Iko place fiti sana

Hizi ni metres or feet?