[ATTACH=full]60862[/ATTACH][ATTACH=full]60863[/ATTACH]
[ATTACH=full]60864[/ATTACH]
Finally the govt is auctioneering zile Benz. Chap chap kabla ziishe.
Hizo ziko na wenyewe. Kama wewe si wa inner clique @uwesmake
Why are they too cheap? Kujaribu hapa ni muhimu. It may be fair roundi hii.
Hii ukipata umegonga jackpot
this is the second time you’re posting this video. ulinunua merc ukawa disappointed?
the video just makes a lot of sense coz he shows practically what he means
heheh…hizi ndizo vitu wasee walikuwa anasema wakenya wanamake less than $1000 wabuy. hii inataka mtu anaingiza $15000 upwards. Ni gari mzuri lakini mfuko joh. Wachaneni na wakenya wanunue toyota.
sales and performance say different. speaks to fans who have to “keep the appearances”, maybe?
Alaf itabidi ugharamie all duties zenye ungegharamia ikiwa newly imported? Tebu saidieni niendelee kujipanga.
from my intel sources dont bother wasting your time gari zina wenyewe hio ni pr exercise
14th niko Nairobi Judiciary,Iam upgrading from my GT 2000cc ili @uwesmake awache kunitishia na x6,started from a premio old model automatic,gari ni wewe na sio mechanic na sio petroli na sio spares.
Buda unatishiwa na uwesmake na hiyo pickup yake odometer huwa haitoki 167k?
ukimaliza ku upgrade niuzie hio GT
Those prices are exclusive of Tax duty… Add duty na ujue ni ma 2000cc +
Priss priss…kindly buy two
I can be hiring one before I get all the money to buy it from you…Asante Ni hayo Tu:D:D
In that case, I choose not to disappoint.
On auction day, October 14, most of us tutaangalia hizo top range cars na mate tuu… :D:D
nipe ikusde nikununulie benz