Timber Business

Wakubwa nisaidieni apa…Started this business of supplyng timber to clients late last year. Kusema ukweli biz iko poa shida ni vile am not being paid on time na juu mm ni kijanaa ka capital kangu bado ni kadogo.Wenye wamemake it kwa hii biz how do u deal with clients wa kuday payments…kindly advice

Waongezee zingine

I frequently buy timber for my projects na hakuna siku ata moja nimechukua on credit. Don’t be too desperate to make sales.

hakuna MTU anaweza kopesha meffi kama wewe

Boss, uko na mchungu nyongo itaburst ukiendelea ivo.
I don’t to a timber yard with the intention of taking timber on credit. Unlike i cant relate.

si ati ni siri niko na machungu sana na wewe,juu ulinimwagia unga ulifaidikaje?

Biashara na mikopo haziambatani. Dont sell anything on credit, especially juu biz ni mpya. You need that cash flow to expand, and ALL your customers have no track record to qualify for credit (because your business is new). Halafu ujue, most timber buyers get paid in cash. Why should you sell to them on credit???

Wakanyama wacha ujinga. Let it slide. Hiyo maneno iliisha

The thread already on bypass.

wewe brown skin uko na njia mingi ya kutafuta pesa,Mimi lazima ni hassle bana

Ikikuitia it’s a very booming business. Reduce giving goods on credit.

How did i miss this part? Link please.

librarian @Ice_Cube lete hio link vile nilimwagiwa unga na MTU Wa roho nyeusi

Shemeji usisamehee yeye

Building materials - Ballast ,Sand & Machine cut stones - Business - Kenya Talk

hata na dawa

ahsante sana ngombe hii

May respect and peace prevail .

@Ice_Cube how do you do it.Do you go through all the threads ???

:D:D:D:D:D:D… A hand that gives receives. Rest assured it was not all in vain i helped a lot of talkers. If you see my inbox after that dress down utalilia kwa choo.