Tilapia / Nile Perch za China

Mbirrionaires, itabidi tufuge samaki kwa backyards zetu ndani ya mitungi… been doing a health audit of what is making my blood pressure shoot up. Kumbe ni samaki za local huwa zina soakiwa kwa concentrated solution of salt na pia jik in order to give them flavour…since chinku fish are flavorless… hii nairobi si ya mama ya mtu walai…people will do anything to have a biz financial edge. Be careful out there with what you eat.

8 Likes

WAIT… what?

1 Like

achana na samak, kula sunguch

1 Like

China will produce more tilapia than lake victoria in the next 5 years. Majamaa wanazilea kwa cages bana

2 Likes

True story… I even experimented… took days off then went for the fish… next morning my pressure was off the charts…

4 Likes

Kula soya kama @Eng_iti

1 Like

Kuna time nimekula fish nikaumwa na tumbo saidi…hii habari ulitoa wapi

With heavy antibiotics bana. Hizo vitu sio the best.

1 Like

Wachan na samaki ya hoteli. Samaki halali iko kwa mama wa samaki at your local market. Me kuna mahali hukula fish…nakula ikiwa imekaangwa ikiwa moto…6hrs later bado mikono inanuka samaki. People can smell that i ate fish 6hrs later. Sasa hiyo ndio samaki halali

6 Likes

In the meantime Kula kuku

Wtf

1 Like

Kama fish ya Nights place pale Burma

Na omenA? Omena za huko great lake huwa na certain flavor nasmelingi huko Sabina joy

1 Like

Nilibai tu kwa mama wa kuchoma fish. Ilinipeleka mbio saidi. Siku hizi fish naletewa na beste yangu huuzia gikosh. Fish kutoka kisumu. Kitu oriji

1 Like

Pambana na hali yako buana… mi hutoa Elemntaita kutoka mtu analeta asubuhi unabuy same day.

Hii nairobi ni samaki za china mostly zinauzwa… unless uwe na plug anauza za samaki za cage kutoka suba… wasapere ni kama waliwacha kufuga za ponds kutoka kiambu.

3 Likes

hawa mama samaki pia imports from China

On April,I was in Kisumu (Dunga beach) with some friends and we ordered some meal of fried fish and ugali.I presume the fish was from the lake a few metres from our table since there is also a fish market adjacent to the restaurant we were at,
The meal was as usual but the sight of pollution at the lake and dead fish floating around the lake shores has made me stay away from fish since then.

1 Like

Kuna siku nilikuwa hapo Kisubu by the lake. Maji chafu ya restaurant inamwagwa kwa lake. Wanaoshea gari na nduthi kwa lake bana

Samaki ni nyoka ziko na mabawa na zinaishi kwa maji