Tiktok suppressing Congo info

I can’t listen someone with a Nigerian accent. Meffi

3 Likes

waafrika kuweni serious. watu wa China ndio wanafaa kutoa information Congo wawaletee hapa Africa?

Si muonyeshe izo story za Congo kwa tv zenu za kiafrica

3 Likes

Our TV stations can’t show what the western powers don’t want the public to be shown

1 Like

if we can’t tell our own story, then io story ikae tu ivo, sababu hatuezi laumu foreigners eti hawatuonyeshi chenye inafanyika kwetu nyumbani.