Tiktok live entitlement

Yaani MTU mzima anaenda online kuomba gifts Na hakuna kitu huyo host anafanya Kwa hizo live streams isipokuwa kubeg gifts

1 Like

Wewe broke simp unaenda kuangalia nini kwa live shows…that space is not for broke dudes like you…kama huwezi tuma gift lipua jaba bila kusumbua…you want free entertainment?

1 Like

5th of the month ilishapita umelipia malaya rent ? Nyumba isifungwe

Btw nilituma…3k

Juzu I saw a guy live Kwa mortuary banae

1 Like