Thuthira Ngoro

#BestOfThe90s Blues pale INOORO TY .Musiki ya kusikiza ukienjoy a cold pilsner ama coomer ya import kwa mansion.

1 Like

umepata kiti?

Unatakaje mkubwa.niko kwa harakati za kumaliza lunj ni step out…hio kiti si utaacha hapo kwa mlango ndaichukua nikirudi jioni.

Huna dstv? Wanaume wanangojea EPL na wewe ni mablues sissy man

1 Like

msee ndio nataka kustep out… Mwarabu ndio amekuwashia wifi kwa store? Noogle

4 Likes

hapa wifi huwa kila mahali:D

mnaongelea nini

swafi mblo. Merry xmas

https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcS5m5i8jDQonVEM9bz-D7x7f_mUoJ5aIupjjCSp6ulSTpMcT9zq

1 Like

[ATTACH=full]73366[/ATTACH]

1 Like