Thursday morning Vichekesho to kick start your day

Start your day with a laugh from non other than future Churchill comedian P.Mwangi

Wazazi wajue jina ya maana:

CEO wa Safaricom
ako na billions na anaitwa BOB

Wewe unaitwa RICHIE / MILLIE na uko na deni ya makaa

MARIAM kwenye Biblia alikuwa BIKRA aliolewa na FUNDI SEREMALA Josefu

Lakini wewe hata sio BIKRA unataka uolewe na BILLIONEA
unawazimu?

Mluhya ata apate job bank atasema ako kibarua but ngoja mjaluo apate kazi ya kufyeka aga khan "I work at a state of the art health facility

Nimebuy chips ati nikulie kwa mat mtoi wa matha
amekaa next to me akaanza kuzililia imebidi nivae
earphones

My boss anakuwaga bachelor amenisendia text “mambo” nikamujibu “oa” badala ya “poa” sasa amenishow Kesho nisiende job

[ATTACH=full]86157[/ATTACH]
Naskia the above ni @Some Say

13 Likes

funny, i liked number five…you might redeem yourself yet…

5 Likes

Wewe ni piriton. Naskia usingizi tena.

7 Likes

I smiled…pia kwa number 5.

Wacha ata mimi nichangamshe kijiji…ati ata fundi akuwe hodari aje, hawezi repair breaking news

4 Likes

ndo maana @Some Say huvaa helmet azibe mdomo asiweze kunyonya kidole…isorait!!!

4 Likes

keep them cuming

1 Like

Ata mimi wacha nijaribu moja.

Kama Raila anakulaga miraa akienda Meru, mbona asivute bangi akienda Kisii. Nilikuwa niulize na je akienda Koinange Street lakini nikaona nitarushiwa mawe.

6 Likes

keep them coming

1 Like

P. Mwangi uko juu

1 Like

Umeniharibia siku mapema sana. Sasa ntaona joke zote leo ni wana.

2 Likes

Congratulations, umenichekeza sana, keep them coming!

2 Likes

Lol

4 Likes

Hi @Female Perspective

Finally villagers have accepted him for who he is.

1 Like

You have to like his persistence.

1 Like

Hapo umenena

Eish pink handler…kujia swa lessons…na ukuje umevaaa kanga bila chupi…

1 Like

:D:D:D:D:D Hizi smart phones taonyesa sisi maneno. Apo kwa number 5 imenkumbusha a lady I was vybing jana alafu predictive text inanianika.[ATTACH=full]86193[/ATTACH]

2 Likes

Hi @kiLo- unataka?

1 Like

@Peter_Mwangi81 nikuhot hadi kuku zinataga mayai boilo!!!
I think you and me can work!

1 Like