thuggery in CBD back again

The word LAPPY is backward sounds like shit mehn iite tu laptop

My bad. Call it semantics

Wanakuibia nini?Mifupa umeweka kwa paper bag au vikombe na kibuyu cha kuchapia thufu?Wewe labda uporwe na umbwa zikitafuta mifupa.

si nyama huwa nanunua na makende yako?

kuwa retired chairman wa ile kanisa ya jeshi la wokovu doesnt qualify you as a special force commando

[ATTACH=full]185978[/ATTACH]

Gay

Nkienda tao hua navaa kama maskini, ma viatu open na cheget imechapa

Niaje midget?

I think ni wewe niliona hapo archives I thought you were a madman

Laptop

Hiyo tao kuna time nilikuwa napita Luthuli daily na lappy, until the day I saw someone receiving a serious mugging. Kutoka hiyo siku nikaacha maraundi za ufala. Nilikuwa natoka colle straight home. Mpaka nikaanza kujiuliza mbona sikuwa nimewahi mug-iwa hizo miezi zote nilikuwa napita hapo? Ama ni discrimineshen hao wezi walikuwa nayo?

Huyo jamaa wa right hand side unaeza mpa laptop ata kabla akuitishe.

A normal discrete bag, the usual laptop bags are easy to be noticed

:D:D wacha za ovyo…

utabomoa hao Kabat! Karate style:D:D

Huyo ni Yule ameibiwa hapo chuom ya mageso chambers kuelekea mist?

MUNGIKI ndo unaita specia forces? SHENZI

I walk with simple pocket knife. Unless you have a gun we are even stevenshttps://www.impressionslast.com/pub/media/catalog/product/cache/26fad7f0116a4604dd5965b833befd85/k/n/knife_add2.jpg
Waiting for Kenya police protection is playing Russian roulette with your life, something I swore I’ll never do. Afadhali nishikwe na weapons charge but the critical minutes or seconds I’m under attack I’ll have something other than a scream for help