Threats everywhere

Hehehee!
It’s like zile za watoto. Kakikataa kula mamake hukaambia, ‘Si ukule ama nimuite jibwa ale chakula yako?’ Ama, ‘Si uvae sweater ama nimpatie Jim iwe yake!’
Na style hii iko kwa Baaba ama Rift Valley, ama Taita.

“Kama hakuna MCA Wetu hapa Kisumu…Uhuru Tena…”

https://t.co/iH7g0c7AM5

[ATTACH=full]96468[/ATTACH]

Hii tuliona… .